2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 3 KWA MGUU
KODI 500,000/= X5
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA
FULL AC SEBULENI NA VYUMBANI
UMEME LUKU YAKO
MAJI BULE KABISA
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT TATU
NA HII MOJA NDO INA FAULISHWA MTEJA KAHAMISHWA KIKAZI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UKILIPIA ANATOA VYOMBO UNAINGIA
Service charge 15,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.