2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NAIFAULISHA HAPA MTEJA WANGU KAPATA DHARULA
================
APATIMENTI IPO KIMARA TEMBONI UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 6 KWA MGUU
===============
SIFA ZA NYUMBA
================
VYUMBA VIWILI SEBULE KUBWA JIKO CHOO NI PABLIC HAKUNA MASTER
==============
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===============
KODI 300,000/=X6
===============
KUONA NYUMBA 15000/
============
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
============
CONTACT
0742260844
0657384670