2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT INAPANGISWA
📍Kimara stop over
🕜Umbali kutoka stand ya mwendo kasi km 1 boda boda 1000 kwa mguu dakika 15_17
#SIFAZAKE
🔹Vyumba 2 vya kimoja master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Choo cha ndani
🔹Umeme LUKU yake, Maji ni ya dawasa
🔹Fence, Parking & Paving blocks
📌Note:- kunahela ya tahadhari 250,000/= Unavyohama unarudishiwa (kama unakodi ya miez 2 na hela ya tahadhari njoo nikuombee)
🔸Kodi Tsh 250,000/=x3,4,5(Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu👇
#.0627977383 &Whatsapp
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊