2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







KODI 200,000X6 KIMARA SUKA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA SANA
CHOO CHA FAMILIA CHA NDANI
JIKO KUBWA SANA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA PEVING ZINA WEKWA MAFUNDI WAPO WANAENDELEA NA RANGI KWANZA
UMEME LUKU YAKO
MITA YA MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 1.2
BODA 1000 HADI GETINI
INAPIGWA RANGI NNJE NA NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0785888413