2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 400,000/=×6
0715949085
0782838336