2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI SANA MPYAA. KABISA
INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGURE
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM. 1,5
USAFILI BODA 1000/=
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJA WAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO LENYE NAFASI
NA CHOO CHA PUBLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
PAKING SPESI NI KUBWA SANA
KODI. 400,000/=X 6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 400,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI