2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA INAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 05/12/2024 MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI OPERN KITCHEN
#STORE
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KONA DK 5-6 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
CALL
O627977383