2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Kodi 400,000/= X6 INAPANGISHWA KIMARA BARUTI
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI DK.10_12 MUTEMBEA KWA MIGUU
VYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJAWAPO NI MASTER
SEEBULE KUBWA
JIKO KUBWA SANA LA KISASA
NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FENSI YA WAYA PARKING SPACE KUBWA ULINZI UPO WA UHAKIKA
ZIPO APARTMENTS TATU TU KWENYE COMPOUND MOJA NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
Service charge 15,000/=
Kwa maelezo zaidi :--
0712528820
0685221354
Mr.