2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


šAPARTMENTS HIZI ZIPO KIMARA BONYOKWA NA UMBALI KUTOKA BONYOKWA MWISHO NI DK 8-10 KUTEMBEA KWA MGUU
šļøVYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA FULL MAKABATI
TOILET BUPLICE NDANI
āØļøSIFA ZAKE
TYRIES GPYSAMU DILISHA KIOO MAJI NDANI YANA FROO šæ UMEME MITA YAKO PAVING PLOCK š« NYUMBA IKO NDANI YA FENCI
š°KODI 400K MALIPO KWANZIA MIEZI 4,5,6
SERVICE CHANGER SH.15000
šMALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA š¤
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796whtsp