2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT MPYA ZA KUPANGA ZIPO #KIMARA_MWISHO
=======
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6
=======
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO NDAN PUBLIC TOILET.
========
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
======
NDANI YA FENCE PARKING KUBWA, GARDEN INATENGENEZWA
===
UMBALI NI KM 2.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA MWISHO USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI TAXS NOA DALADALA 500
=====
SERVICE CHARGE ELFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
========
#DALALI_
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI