2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


300,000 × 6 KIMARA MWISHO
MAHALI:KIMARA MWISHO DAKIKA 10 KUTOKA MOROGORO
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
KODI:(300,000 ×6
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
CHOO CHA PUBLIC
NDANI YA UZIO
USALAMA KAMA LUGALO
HUDUMA
LUKU YAKO
MAJI YANATOKA NDANI
PARKING KUBWA SANA
KUPELEKWA SITE ELF 15
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa