2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X4)  0759151529
KIMARA TEMBONI 2.5KM BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA TEMBONI (DSM)🇹🇿 
====================
✔️VYUMBA VIWILI 
✔️VYOTE MASTER 
✔️SEBULE
✔️JIKO
✔️CHOO CHA PUBLIC NDANI 
✔️NDANI YA FENCE 
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS 
*NYUMBA  NDANI YA FENSI KUBWA UNALAZA HATA MAGARI 10 UMEME  MAJI MITA YAKO
*NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA2.5 BAJAJI
1000
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO(DSM)🇹🇿 
USAFIRI UPO NI  BODA 1500 BAJAJI 1000 UKISHUKA UNATEMBEA DKK2
*KODI NI TSZ 250000/= KWA MWEZI 
MALIPO MIEZI 4
_________________________
0679 956 863 
0781 418 437 
0759151529
*SERVICE CHARGE YA KUONA  NYUMBA@15,000/=




















