2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA TEMBONI AU UNAWEZA PITIA KWA MSUGURI
➖➖➖➖➖➖➖➖
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 12 KWA MIGUU
LOCATION:
KIMARA TEMBONI/ PIA UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI NJIA ZOTE ZINATUMIKA
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI LENYEMAKABATI KUBWA
PUBLIC TOILET NDANI
ZIPO TATU NDANI YA YA
HII MOJA NDIO ITAKUWA WAZI
UMEME LUKU YAKE
MAJI MITA YAKE
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
KODI 400,000 X 6
ITAKUWA WAZI TAREHE 24/3/2025
KULIPIA RUKSA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223512
0683597453