2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑Dakika 6 Kutembea toka Mwendokasi
📌Nyumba inafanyiwa Marekebisho makubwa pindi mpangaji akihama
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹choo cha familia
🔹Umeme Luku Yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fensi & Parking Kubwa
👉Hii Inakuwa wazi Tar 30/07/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa
🔶Kodi Tsh 350,000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 350,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊