2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIMARA STOPOVER 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BODABODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
Seble kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala kimoja master
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/
Kodi 300,000/=×6
--------
Nb hii nyumba itajuwa wazi kesho jioni
Ila kuangalia na kulipa luksaa
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 300,000
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Contact us:-
0716223412
0683597453