2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(450,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPOUND MOJA KATI YA IZO MOJA YA CHINI IPO WAZI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#PUBLIC TOILET
#PAVING BLOCKS
#LUKU NA MITER YA MAJI UNAJITEGEMEA
#MAJI NI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA TAHADHALI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300