2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK5 KUTOKA LAMI TAR30.08.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA.
---------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Liku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
------------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
------------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏