2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
Kiwanja Kinauzwa Kinyerezi Mwisho
- Kina msingi wa chumba kimoja na sebule
- Mtaa umejengeja
- Huduma za kijamii zipo
.
Unaweza jenga nyumba ya vyumba viwili mbaka tatu na kubaki na parking.
Bei Mil 20 maongezi yapo.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.