2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGA KINYEREZI SHULE ๐กโจ
- Vyumba 2 (1 master en-suite)
- Sebule kubwa na vizuri
- Jiko la kisasa
- Choo cha nje (public)
- Umeme LUKU (unajitegemea)
- Maji ya bomba (unajitegemea) + Tanki la akiba
- Wapangaji 2 tu (faragha kamili)
- Parking salama
- Nyumba imefenced kabisa
- Mmiliki anafanya ukarabati wote unapohitajika
๐ฐ Kodi Tsh 300,000/= ร 6 tu!
Bei poa, eneo tulivu na salama karibu na barabara kuu.
Piga sasa: 0688 412 890
(Usikose nafasi โ inaenda haraka!) ๐


















