2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Kinyerezi G7.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- Maji 24/7
- Paving
- Parking
- Electric fence
Kodi 350,000/= MIEZI KWANZIA MITATU.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.