2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Darajani.
- Vyumba Viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- A/C
- Mafeni
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Wapangaji wanne
- Parking
Kodi 300,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.
- Fence