2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Shule The Voice.
- Vyumba viwili
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Mafeni
- Water reserve tank
- Paving
- Fence
- Dakika 0 kutoka lami
Kodi 400,000/=.
Kuona na kulipia ruksa.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.