2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Kibaga.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Parking
- Water reserve tank
- Fence
- Wapangaji wawili tu
- Kila kitu unajitegemea
Kodi 400,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.