2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mskitini.
Vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko, public toilet n.k.
Wapangaji wawili tu.
Kila kitu unajitegemea.
Nyumba inajieleza jamani.
Kodi 300,000/= MIEZI SITA!!!
MUHITAJI PIGA SIMU 0688 412 890.