2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Kinyerezi Zabikah.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme 24/7
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 3 kutoka kituoni
Kodi 300,000/= MIEZI MITATU TU!!!
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja ukilipia nyumba.
Muhitaji piga 0688412890.