2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Kinyerezi Songas. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Paving
- Parking
- Electric fence
- Water reserve tank
- Dakika 0 kutoka kituoni
Kodi 350,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.