2 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Kinyerezi Songas. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE)
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Maji 24/7
- Paving
- Parking
Kodi 400,000/=.
Kupelekwa 20,000/= itadumu mbaka utakapo pata nyumba.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.