2 Bedrooms House for Rent at Kisima, Kilimanjaro
Nyumba inapangishwa Iko area D ina vyumba 2 kimoja master sebule dining jiko stoo choo public Kabati za nguo zipo vyumba vyote.Makabati ya jikoni Electric fence saa 24.Maji yapo 24/7 mwenye nyumba ana kisima Kodi 600000 njoo picha zaid