2 Bedrooms House for Rent at Kisima, Kilimanjaro
INAPANGISHWA NGARAMTONI YA JUU UKIPITA BY PASS ARUSHA
NYUMBA NI NZURI IPO SEHEMU PATULIVU
🔹️Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja mastter
🔹️Ina sebule
🔹️Ina jiko lenye makabati
🔹️Ina public toilet na bathroom
🔹️Ina heater ya maji moto
🔹️Ina parking
🔹️Inajitegemea upande wa mbele
🔹️Ina electric fance
🔹️Ina kisima piaa
🔹️Bei 350,000 kwa mwez
Na kuna kidipost
👉Call 0758105801