2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


0679 997610
#APARTMENT #MPYAAA KABİSAA İNAPANGİSHWA #MADALE NZURİ SANA YA #KİFAMİLİA
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko open kitchen (LİNAFUNGWA MAKABATİ)
Ac
Heater
Parking
Choo cha familia
Maji na Umeme mita yako
Mazingira tulivu sana
__
Kodi 600,000/= × 7
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
___
PİGA SİMUUUUU
0679 997610
0747997630
Msigwa