2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


Apartiment house for rent nzuri kali sana
Location madale sheratoni karibu kabisa na barabara
Kodi 800000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 30000 kuona nyumba
Room 2 moja ni master bedroom
Sitting room kubwa
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Full A/C ndani
Maji dawasa ndani yanafloo mita yake
Hita ya maji moto na baridi bafuni
Paving block
Garden nzuri sana
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128


















