2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


Apartments za Vyumba Viwili, Sebule na Jiko - 600,000 TZS/Mwezi,Madale Centre
Maelezo ya Nyumba:
• Vyumba viwili vya kulala, kimoja ni master
• Sebule kubwa yenye nafasi
• Eneo la dining (dining space)
• Jiko zuri lenye makabati
• Makabati ya nguo katika kila chumba
• Full Air Condition
• Ulinzi wa saa 24/7
• Umeme na maji unajitegemea
• Nyumba ipo umbali wa 500m kutoka barabara kuu
• Gari la aina yoyote linafika
Bei: 600,000 TZS kwa mwezi
Mahali: Madale Centre
Masharti ya Malipo: Malipo ya miezi 6
Service Charge: 20,000 TZS (Italipwa mara moja hadi utakapopata nyumba)
Ada ya Dalali: Kodi ya mwezi mmoja
NOTE:
Usisahau kutufollow kwenye ukurasa wetu huwa tunapost nyumba kila muda.
Enjoy