2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


Zipo madale mwisho ni mpya kabisa.ziko nyumba za Aina tatu.kuna vyumba viwili kimoja masta sebule jiko na public toilet ziko mbili. 500,000 kwa mwezi.inayofatia ni vyumba viwili sebule Choo na jiko haina masta 400,000 kwa mwezi inayofatia ni chumba sebule Choo jiko.300,000 ya mwisho ni chumba sebule Choo na jiko la wazi (open kitchen) 350,000 kwa mwezi.0762089247