2 Bedrooms House for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


🏠 Nyumba Inapangishwa – Makongo Juu
Features:
🛏 Vyumba 2 (kimoja ni master)
🛋 Sebule
🍳 Jiko
🚻 Public toilet
Amenities:
💧 Huduma za maji zipo
⚡ Umeme umewekwa
🅿 Parking ipo (ikiwa inapatikana)
🔒 Usalama wa eneo umehakikishwa
💰 Kodi: 650,000/= kwa mwezi
🗓 Malipo: Miezi 4
📞 Mawasiliano: 0678 512 666
💵 Service charge na agent commission zipo