2 Bedrooms House for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


Apartment ya Vyumba viwili(Kimoja M/ Bedroom), Sebule na Jiko - 600,000 TZS/Mwezi, Makongo Songasi
Maelezo ya Nyumba:
• Vyumba viwili (Kimoja master bedroom)
• Sebule kubwa
• Jiko zuri
• Parking kubwa
• Ulinzi wa saa 24/7
• Umeme na maji unajitegemea
• Nyumba ipo dakika tano na barabara
NOTE: Kwenye compound zipo Nyumba mbili tu.
Bei: 600,000 TZS kwa mwezi
Mahali: Makongo Songasi
Masharti ya Malipo: Malipo ya miezi 6
Security deposit : Kodi ya mwezi mmoja
Service Charge: 20,000 TZS
Ada ya Dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Itakuwa wazi mwisho mwa mwezi huu📌
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu au WhatsApp: +255692932076