2 Bedrooms House for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT🏠
🔗2 Bedrooms 1 master bedroom
🔗Kitchen
🔗Sittingroom
🔗Parking
🔗Public toilet
✨️Nyumba iko ndani ya fensi ndani ya compound maji ya dawasco 24hrs umeme unajitegemea mazingira mazuri sana karibu kabisa na barabara dakika 7 kutembea kutoka barabarani
Location: Makongo juu
Price: 400k per month
NB: Agent commission fee apply
Viewing fee 20k
#dalaliguru
Contacts:
0695511662 text, call & whatsapp