2 Bedrooms House for Rent at Makumbusho, Dar Es Salaam


Apartment ya vyumba viwili (Vyote Master Bedroom, Sebule na Jiko - 850,000 TZS/Mwezi, Victoria (Makumbusho)
Maelezo ya Nyumba:
• Vyumba viwili vya kulala(Vyote ni master bedroom)
• Sebule kubwa
• Jiko zuri
• Full (AC)
• Parking kubwa
• Ulinzi wa saa 24/7
• Umeme na maji unajitegemea
• Nyumba ipo barabara
Bei: 850,000 TZS kwa mwezi
Mahali: Victoria (Makumbusho)
Masharti ya Malipo: Malipo ya miezi 6
Deposit money: Kodi ya mwezi 1
Service Charge: 20,000 TZS
Ada ya Dalali: Kodi ya mwezi mmoja
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali piga simu au WhatsApp: +255692932076
Usisahau kutembelea kwenye ukurasa wetu!