2 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro


.
#MBEZI_MWISHO_NJIA_YA_MPIJIMAGOWE
BEI NI 200,000/= X 6
INAJITEGEMEA YENYEWE FENCE BADO HAIJA JENGWE
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO OPEN KITCHEN
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA SANA
UMEME NA MAJI VIPO UMBALI KM 2.5 KWAGARI DALADALA MIASITA UKISHUKA DK4 UPO KWENYE NYUMBA
BEI NI 200,000/= X 6
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347