2 Bedrooms House for Rent at Mawasiliano, Morogoro


NYUMBA YA VYUMBA VIWILI SEBULE JIKO PUBLIC TOILET INAPANGISHWA
𝗠𝗔𝗘𝗡𝗘𝗢 :IKO MOROGORO MJINI
𝗞𝗢𝗗𝗜 :𝖳𝗌𝗁.400,000/= KWA MWEZI
MALIPO YANAYOTAKIWA NI MIEZI 6
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
IKO JIRANI NA BARABARA
ENEO LA KUEGESHA USAFIRI LIPO
MAZINGIRA SALAMA.
MAWASILIANO
Call 📲0785-517158/ 0678-517158