2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA: MBEZI
AGENT: KINGDOM PROPERTIES GROUP
DATE LISTED: 13/09/2024
HOUSE LOCATION: MBEZI KWA MSUGULI
PLOT SIZE: 1000 SQM
PRICE: 440 million. (MAONGEZI YAPO/NEGOTIABLE)
HOUSE DETAILS
-VYUMBA 6 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA ,SEBULE KUBWA,DINNING, JIKO KUBWA LA KISASA ,PUBLIC TOILET ZIPO MBILI YAANI JUU GORAFANI NA CHINI PIA,STORE ZIPO 2, MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
-NYUMBA HII INA HATI MILIKI
-UKUBWA WA ENEO NI:- SQUARE METER 1000
-NYUMBA HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU HADI KWENYE NYUMBA
-NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI NDANI ANALIPA KODI SHILINGI LAKI 8 (800,000/= TSH) KWA MWEZI
NOTE: Eneo Zuri sana na ni kubwa linauzwa bei ya kutupa:
Site Visite: 50000
CONTACTS
Office: Bunju A
Mobile: 068 370 2330 / 065 715 9979
Email: kingdompropertiesgrouplimited@gmail.com