2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENT CLASC INAPANGISHWA, IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 12 KUTEMBEA BODA BUKU
MUUNDO WAKE
============9==
VYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA SANA KIMOJA MASTAR INASEBULE KUBWA, JIKO KUBWA FULL MAKABATI NA PABLICK TOILET
HEAT YA MAJI MOTO
======
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
=====
KODI 500,000/=X 6
KUONA NYUMBA HII ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONT
0683234124
0718367179