2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1.5 KUTOKA LAMI BODA BUKU
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏