2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI SANA ZA KISASA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU TU INAKUWA WAZI TAR 31.1.2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA.
--------
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati safi
Public toilet
Maji yana flow
Heater ya maji moto maji baridi
Garden safi
Electronic fence
Mazingila yake mazuri sana
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=Γ4
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA πΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT πΉπΏ
EPUKA MATAPELI MATAPELI KAZI NA NA WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π