2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 350000 K X6
APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STENDI YA MAGUFURI
UMBALI WA MITA 700
KUTOKA STENDI
BODA BODA 1000
SIFA YA NYUMBA INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE JIKO
CHOO CHA
PABILIKI
UMEME ANAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
ZIPO NYUMBA NNE 4 KWENYE FENSI MOJA
IPO WAZI NYUMBA MOJA
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637