2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







#0742260844 #0657384670
SASA IPO WAZI
APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU .
SIFA ZAKE
==========
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
DINNING ROOM
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW DAWASA
LUKU YAKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI
TILES,GYPSUM
GARDEN SAFI
PAVING BLOCK SAFI
MAZINGILA MAZURI MNOO
ELECTRONIC FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
.
KODI 500,000/=×4