2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTIMENTY INAPANGISHWA IPO TEMBONI KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
DK 15 KUTEMBEA
====
USAFIRI BODA BUKU MPAKA GETINI
MUUNDO WAKE
SEBULE KUBWA ,
VYUMBA VIWILI VYAKULALA
KIMOJA MASTAR
JIKO NA PABLIC TOILET
====.
INATAYLIZY GYUPSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI, LAKINI
HAILAZI GARI
=====
KODI 350,000/=X 6
KUONA 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI UKILIPIA NYUMBA
====
CONT
0683234124
0718367179



















