2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







KUNA MABADILIKO YA BEI SIO TENA 280k BALI NI 300K
NYUMBA Inapangishwa ; #VYUMBA_VIWILI
Kodi ni Tsh 300,000/= kwa Mwezi
πMBEZI KIBANDA CHA MKAA
πVyumba Viwili (kimoja master)
πSebule
πJiko lenye Makabati
πPublic toilet
πMaji yapo
πLuku yako
πUmbali wa kilometa 1 kutoka morogoro road
Nipigie/ WhatsAp: 0672 673363