2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
#VYUMBA_VIWILI_VYA_KULALA
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH TANKI BOV
USHUANI NYUMBA IKO MITA 200
TOKA LAMI
______________
KODI TSHS LAKI 800,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Viwili vikubwa vya kulala #MASTA #Sebule kubwa #dinning #Jiko zuri lenye #makabati #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks #Garden
#FencedHouse