2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedroom
Seble ya wastani
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Luku yako
Tiles
Gypsum
Garden safi
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=Γ6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA πΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENTπΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π