2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA ZEGE
-----
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina wekwa makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000X6
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja tu
--------
Contact
#0676_218580 ( WhatsApp
#0693_673010
#dalali_big_kimara🇹🇿💥
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















